• Top definitionTop Definition

Beba

Carry

e.g.

Wambo amebeba utadhani ni aoko.

en

Literal translation: Wombo has carried you'd think she is aoko. 

Ask any Kenyan for the translation :)


date publishedMay 21, 2021

  • Definition 2

Beba

Carry

e.g.

Mtoto amebeba ndizi kwa kichwa.

 

en

The child is carrying banana on his head.


By Njambi
date publishedJuly 16, 2019

  • Definition 3

Beba

carry

e.g.

Gari hiyo ilikuwa imebeba magazeti ikielekea mkoani Kilimanjaro na Arusha ilikuwa ikiendeshwa na Omary Rajabu (32).


date publishedAugust 26, 2021

  • Definition 4

Beba

Carry

e.g.

Beba hii twende

en

Carry this we go


date publishedJanuary 12, 2025
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.