Daktari
Doctor
e.g.
Natia bidii shuleni ili niwe daktari
en
Am working hard in school so that i can be a doctor
By
Naomietwelve

Daktari
Doctor
e.g.
Daktari wako wa meno amefika
en
Your doctor has arrived
By
Naomietwelve

Daktari
Doctor
e.g.
Daktari wangu anaitwa Mishra
en
My doctor is called Mishra
By
Naomietwelve
