Dunia
Earth
e.g.
Mimi ndiye mtu mwenye furaha zaidi duniani
en
I am the happiest man on earth
By
Anonymous
June 13, 2022
Dunia
world
e.g.
Katika dunia ya leo ya utandawazi, nafikiri si busara hata kidogo kulichambua suala la uongozi wa nchi kwa kutizama mwelekeo mmoja wa kijamii.
By
Anonymous
August 1, 2021
Dunia
World
e.g.
Nina ramani ya dunia nzima
en
I have a map of the whole world
By
Anonymous
May 30, 2022
Dunia
world
e.g.
Ukitilia maanani suala la maadili ya jamii, akina Mugenyi hamfai kabisa katika dunia ya kileo.
By
Anonymous
August 5, 2021