Searching...

  • Top definitionTop Definition

Hadithi

Story 

e.g.

Hadithi za nyanya zinapendeza

en  

I love grandma's stories 



  • Definition 2

Hadithi

story

e.g.
Wataunena utukufu wa ufalme wako, Na kuuhadithia uweza wako.


  • Definition 3

Hadithi

Fairy tale or story

e.g.

Mwalimu alituambia hadithi.

en  

The teacher narrated to us a story.



  • Definition 4

Hadithi

tales

e.g.

Hadithi za babu ni ya kufurahisha

en  

Tales of grandfather makes one happy



  • Definition 5

Hadithi

Story

e.g.
Bali hatimaye Danieli akaingia mbele yangu, ambaye jina lake ni Belteshaza, kwa kufuata jina la mungu wangu; tena ndani yake inakaa roho ya miungu watakatifu; nikamhadithia ile ndoto, nikisema,


  • Definition 6

Hadithi

story

e.g.

Ni wakati wa hadithi.

en  

It is time for story.


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.