• Top definitionTop Definition

Kazi

job/work

e.g.

Nimesema hivi nikiangalia jinsi bunge la Tanzania lilivyojaa wasomi wengi lakini utashangaa kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kupitisha baadhi ya sheria zisizosaidia wananchi.


By Anonymous

created atAugust 3, 2021

  • Definition 2

Kazi

Work

e.g.

Kazi yake ni kuosha

en

Her work is cleaning


By Brenda

created atApril 21, 2020

  • Definition 3

Kazi

work

e.g.

Nchi kama Congo-Brazavile, Rais Paschal Lisouba alifikia mahali akawa anategemea kampuni ya Elf kulipa mishahara ya wafanyakazi.


By Anonymous

created atAugust 25, 2021

  • Word of the day

Gitinda

To be late. 

e.g.

Mwigizi gitinda msuguru. 

en

The teacher is late for classes. 


By Allan

April 14, 2020

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.