Searching...

  • Top definitionTop Definition

Kisu

knife

e.g.

Majambazi wawili walivamia nyumbani kwake, wakamshikia kisu kooni na kuiba akiba yake

en  

Two robbers broke into her home, held a knife to her throat and stole her savings



  • Definition 2

Kisu

knife

e.g.

Alitumia kisu chenye ncha kali kuchonga mbao

en  

He used a sharp knife to carve out the wood



  • Definition 3

Kisu

Knife

e.g.

Nimenunua kisu

en  

I bought a knife



  • Definition 4

Kisu

Knife

e.g.

Mtu huyo alimshambulia kwa kisu

en  

The man attacked him with a knife



  • Definition 5

Kisu

Knife

e.g.

Kisu hiki kimenolewa.

en  

This knife is sharp.


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.