• Top definitionTop Definition

Kubwa

Big/Large

e.g.

Napenda kuona kandanda kwa runinga kubwa.

en

I like watching football on a big television screen.


By Njambi
date publishedJuly 16, 2019

  • Definition 2

Kubwa

huge

e.g.

Nchini Uganda, Museveni naye hakosi vituko hasa vya matumizi makubwa ya fedha.


date publishedSeptember 24, 2021

  • Definition 3

Kubwa

big

e.g.

Alinunua keki kubwa

en

She bought a big cake


date publishedNovember 28, 2021

  • Word of the day

Ngoso

Panya

e.g.

Ngoso yabyalaga bhana

sw

Panya amezaa watoto


date publishedDecember 3, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.