Roho
spirit or soul
e.g.
Roho yangu itatukuza mungu
en
My soul will praise Jesus
By
Anonymous
April 21, 2022
Roho
spirit,soul or life
e.g.
Alisema Mpango wa mungu ni kuwaunganisha watu pamoja ikiwa ni pamoja na kujenga makanisa ili watu wakutane pamoja kiroho lakini pia kuanzaisha shule na vyuo mbalimbali ili watu wapate elimu bora na waweze kutambua yapi mema na mabaya.
By
Anonymous
January 26, 2022
Roho
heart or character
e.g.
Una roho safi sana
en
You have a very good heart
By
Anonymous
February 6, 2022