Searching...

  • Top definitionTop Definition

Shika

catch

e.g.

Nimeshika uyo mwizi leo

en  

I have catch that thief today



  • Definition 2

Shika

catch

e.g.

Jeshi la polisi limewashika watuhumiwa wa wizi wa kutumia silaha.

en  

The police have caught the perpetrators for bulgary.



  • Definition 3

Shika

catch

e.g.

Shika hili tunda

en  

Catch this fruit



  • Definition 4

Shika

catch

e.g.
Badilikeni basi vijana wenzangu kwa kuwa huo mziki wenu hata mimi naupenda sana lakini naogopa kutukanwa pale mnaposhika chini, acheni kumfundisha Junior Tabia mbaya.

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.