Tafadhali
please
e.g.
Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
By
Anonymous
August 4, 2021
Tafadhali
please
e.g.
Je, unaweza kufunga mlango tafadhali?
en
Could you please close the door?
By
Anonymous
June 10, 2022
Tafadhali
please
e.g.
Tafadhali naomba unipe pesa yangu
en
Please give me my money
By
Anonymous
November 22, 2021