Tembo
elephant
e.g.
Selous iliorodheshwa mwaka 1982 katika Urithi wa Dunia baada ya kukidhi vigezo viwili kati ya 10 vilivyowekwa na kamati hiyo ambavyo ni kuwa eneo muhimu kwa bioanuai ikiwamo idadi kubwa ya tembo kuliko pori lolote duniani; pamoja na kuwa eneo lenye aina na mwingiliano mpana wa uoto wa asili ikiwamo mimea zaidi ya aina 2,100 na misitu mikubwa aina ya miombo kuliko sehemu yoyote duniani.
By
Anonymous
