Searching...

  • Top definitionTop Definition

Tenga

Seggregate

e.g.

Kumtenga mtu anayeumwa sio jambo jema.

en  

Seggregating a sick person is not a good idea.



  • Definition 2

Tenga

exclude or put aside.

e.g.

Alisema serikali pia imetenga fedha kwenye maeneo muhimu kwa kuzingatia vipaumbele na mipango ya kitaifa ambayo ni Elimu iliyotengewa milioni moja.



  • Definition 3

Tenga

detach/separate

e.g.

Naomba uweza kuji tenga na hawa watu

en  

I would like you to detach yourself from those people


Keep going in Swahili

Try a Swahili tongue twister

“Tupe tupate, tumtupie Tapu.”

Take the challenge

Know another meaning of Tenga? Add yours

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.