• Top definitionTop Definition

Umoja

Unity

e.g.

Sisi sote tuwe na umoja. 

en

Let us be united. 


date publishedApril 22, 2020

  • Definition 2

Umoja

unity

e.g.

” Mara aliilaani OAU eti ilimuenzi huyu fisadi na kumkabidhi uenyekiti wa umoja huo kwa mwaka mmoja katika mkutano wake wa Kampala 1975.


date publishedAugust 28, 2021

  • Definition 3

Umoja

singular

e.g.

Nipe neno hilo kwa umoja

en

Give me that word in singular


date publishedJanuary 1, 2022

  • Word of the day

Enane

Nane

e.g.

Enane enamba ya kiungo pashibhanja wakati bha ompera

sw

Namba nane ni namba ya kiungo uwanjani wakati wa mpira


By Medard
date publishedOctober 5, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.