Vita
War
e.g.
Ni majaliwa ya Mungu kuishinda vita
en
it is God's destiny to win the war
By
Anonymous
March 1, 2022
Vita
war
e.g.
Na ni wazi kwa vita ya kisaikolojia, Mourinho ndiye bingwa msimu huu.
By
Anonymous
July 14, 2022
Vita
war
e.g.
Ndiyo maana vita ya kisaikolojia imebaki kati ya Ferguson na Wenger.
By
Anonymous
August 25, 2021
Vita
war
e.g.
Kutakua na vita wa kimataifa karibuni.
en
There will be a world war soon.
By
Anonymous
July 22, 2022
Vita
War
e.g.
Familia yao wanapenda vita
en
The family love fighting
By
Naomietwelve
August 24, 2022