• Top definitionTop Definition

Ngeus

Girls.

e.g.

Tenje imejaa manamba za ngeus.

en

My phone has a lot of girls' phone numbers.


By mbudaa

created atAugust 17, 2020

  • Definition 2

Ngeus

Msichana mrembo.

Kisawe: Kidosho, kipusa

e.g.

Tumejindasu mtaa na mangeus wa varsity, high school zii, hatutaki sin! 


By Wakadinali

created atSeptember 27, 2020

  • Definition 3

Ngeus

Gilrs/ladies

e.g.

Hao mangeus wasimame ama wainame?

en

Should the ladies stand or bend?


By Michael Jaroya

created atOctober 27, 2019

  • Word of the day

Kuchanya

Juu

e.g.

Ukugwa kwa ndonya kuhuma kuchanya mbaka banyi pagaya lisoli, kwaileta kuhega kwa luganga.

sw

Kushuka kwa mvua kutoka juu kuelekea chini, husababisha mmomonyoko wa udongo mahali pasipo na nyasi.


By ilasamagesa

September 28, 2022

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.