• Top definitionTop Definition

Alhamisi

Thursday 

e.g.

Leo ni alhamisi. 

en

Today is on Thursday. 


date publishedApril 22, 2020

  • Definition 2

Alhamisi

thursday

e.g.

Raheem Sterling, aliyecheza katika nafasi ya kawaida ya Rooney, alisema kuwa kurudi kwao katika nafasi zao za kawaida kwaweza kuiletea uingereza mafanikio wakati timu hiyo itakapokutana na Uruguay siku ya Alhamisi.


date publishedAugust 4, 2021

  • Definition 3

Alhamisi

Thursday

e.g.

Nchi ya Kenya itafanya uchaguzi wake siku ya Alhamisi.

en

Kenya will hold its elections on Thursday.


date publishedJuly 25, 2021

  • Definition 4

Alhamisi

Thursday

e.g.

Alhamisi ni siku ya soko

en

Thursday is market day


date publishedSeptember 6, 2022

  • Word of the day

Ngoso

Panya

e.g.

Ngoso yabyalaga bhana

sw

Panya amezaa watoto


date publishedDecember 3, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.