Searching...

  • Top definitionTop Definition

Bahari

Ocean

e.g.

Ni mambo ya kusikitisha kwanba miili ya mama na mwanawe waliozama kwenye bahari Hindi bado hayajapatikana.

en  

Its a sad state of events that the bodies of the mother and her kid who drowned in the Indian Ocean have not yet been recovered.



  • Definition 2

Bahari

Ocean

e.g.

Bahari ya Hindi ni kubwa barani Afrika.

en  

The Indian ocean is the largest ocean in Africa.



  • Definition 3

Bahari

sea

e.g.
Bwana akaugeuza upepo wa magharibi wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka katika Bahari ya Shamu; hakusalia hata nzige mmoja ndani ya mipaka yote ya Misri.


  • Definition 4

Bahari

ocean

e.g.
lakini Mungu akawazungusha hao watu kwa njia ya bara kando ya Bahari ya Shamu; wana wa Israeli wakakwea kutoka nchi ya Misri hali wamevaa silaha.


  • Definition 5

Bahari

sea

e.g.

Bahari ya Hindi inavutia

en  

Indian sea is attractive



  • Definition 6

Bahari

ocean

e.g.

Maji ni mengi kwenye bahari

en  

There is alot of water in the ocean



  • Definition 7

Bahari

sea

e.g.

Bahari ina maji yenye chunvi

en  

The sea has salty water


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.