• Top definitionTop Definition

Habari

mass

e.g.

Habari nyingi hapa ni kusifia utendaji wa wanasiasa na kutokuwakosoa kabisa.


By Anonymous

created atJanuary 2, 2022

  • Definition 2

Habari

information

e.g.

Kuna hatari habari zinazotokea huku zikadhibitiwa, tunaelekea wapi?


By Anonymous

created atSeptember 10, 2021

  • Definition 3

Habari

news

e.g.

Nimesoma habari bonyezanikashtuka sasa ule uhuru wa mawasiliano uko hatarini.


By Anonymous

created atJuly 15, 2022

  • Definition 4

Habari

News

e.g.

Nina habari njema kwako.

en

I've got some good news for you.


By Anonymous

created atOctober 23, 2021

  • Definition 5

Habari

Hello?

e.g.

Habari? Unaendeleaje leo

en

Hello? How are you doing


By Naomietwelve

created atSeptember 6, 2022

  • Word of the day

Ikaya

Nyumba

e.g.

ikaya ilya yona nalikulonjera naiyona

sw

Nyumba niliyo kuwa ninakwambia nimeiyona


By Lubuva

October 6, 2022

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.