Ingawa
although
e.g.
Nitakuja ingawa nitachelewa
en
I will come although I will be late
By
Anonymous
December 13, 2021
Ingawa
although
e.g.
Ingawa alifika darasani kama amechelewa aliweza kusoma
en
Although he arrived late to class he was able to study
By
Anonymous
September 5, 2021
Ingawa
although
e.g.
Nilimnunulia viatu ingawa hapendi
en
I bought her shoes Although she doesn't like
By
Anonymous
August 15, 2021
Ingawa
although
e.g.
Walikuja ingawa walifika kama wamechelewa
en
They came although they arrived late
By
Anonymous
December 17, 2021
Ingawa
Although
e.g.
Ingawa walicheza vizuri lakini walipoteza mchezo.
en
Although they played well but they los the game.
By
Anonymous
February 17, 2022
Ingawa
Although
e.g.
Nimefika ingawa nimechelewa
en
I have arrived although I am late
By
Anonymous
April 17, 2022
Ingawa
Although
e.g.
Ingawa nampenda siezi ishi naye
en
Although I love him I can't live with him
By
Naomietwelve
October 5, 2022