Searching...

  • Top definitionTop Definition

Kinyonga

Chameleon

e.g.

Kinyonga ana uwezo wa kubadili rangi yake

en  

Chameleon is camouflaged to changing its colour



  • Definition 2

Kinyonga

chameleon

e.g.
Kumekuwa na jitihada nyingi kukujaribu kuwakumbusha na kuwahamasisha Wagogo kuungana na kufanya kazi za maendeleo na hususani za kiuchumi (Ujasiriamali) lakini nyingi ziko kwa mwendo wa kinyonga, Wanyausi wamebaki na kilio cha Ukame (Chibahu) na umasikini!


  • Definition 3

Kinyonga

Chameleon 

e.g.

Kinyonga hubadili rangi kulingana na mazingira. 

en  

Chameleon changes its colour according to the environment. 


Keep going in Swahili

Try a Swahili tongue twister

“Juzi mjuzi akala mchuzi wa mjusi.”

Take the challenge

Know another meaning of Kinyonga? Add yours

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.