Searching...

  • Top definitionTop Definition

Mlango

Door

e.g.

Niliogopa Githurai ile siku mlango ya jirani yangu iliibiwa alafu kesho yake akakuja na mlango imeandikwa Form 1 East.

en  

I started fearing Githurai the day my neighbor's door got stolen only for them to come home the next day with a door written Form 1 East.



  • Definition 2

Mlango

 a door

e.g.

natamani kuuona mlango wa kuingia mbinguni

en  

i look forward to seeing the door to heaven



  • Definition 3

Mlango

door

e.g.

Askari polisi alifungua mlango na kuchungulia ndani.

en  

The police officer opened the door and looked in.



  • Definition 4

Mlango

Door

e.g.

Mlango ilivunjwa na wezi

en  

Thieves broke our door


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.