• Top definitionTop Definition

Pesa

Money.

e.g.

Pesa kidogo na ushaanza kuita mungu "Almaiiri Gad"

en

Just a small amount of money and you have started calling God "Almairi Gad"


By Ngirita

created atOctober 20, 2020
Umebobea katika lugha ya Kiswahili? Kuna kazi.

  • Definition 2

Pesa

money

e.g.

Lakini, naona mara unauliza habari za familia yangu, ndio maana nauzima wa Serikali na nauwasha mshumaa wangu mwingine nilioununua kwa pesa za mfukoni mwangu.


By Anonymous

created atAugust 23, 2021

  • Definition 3

Pesa

money

e.g.

ni vizuri kuweka akiba ya pesa kwa siku zijazo

en

its good to keep some money for use  in the future days to come


By nimo

created atOctober 15, 2019

  • Definition 4

Pesa

Money

e.g.

akona pesa mingi 

en

He has a lot of money


By Brenda

created atApril 22, 2020

  • Definition 5

Pesa

Money

e.g.

Pesa zake zimepotea. 

en

His money was lost. 


By SamRomeo

created atApril 22, 2020

  • Definition 6

Pesa

Money

e.g.

Nmelipwa pesa kazini

en

I have been paid money at my job


By Naomietwelve

created atSeptember 6, 2022

  • Definition 7

Pesa

money

e.g.

Alafu kama ilivyo kawaida, siku hizi tunawaza pesa tu haswa wengi wetu.


By Anonymous

created atOctober 9, 2021

  • Word of the day

Pii

water

e.g.

Mia pii amata

en

Give me drinking water


By Joshua Omara

April 8, 2021

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.

Add Language

Language
Leave your email to get notified immediately a definition is made on the language.