Wetu
our
e.g.
Hivi kweli bara la Afrika ni masikini au tunatania?Mimi nashindwa kujua wala kuamini ila inanifanya niulize wenzangu: Kwa mfano jinsi serikali ya Tanzania inavyohangaishana na madaktari je ni kiasi gani kinatumika kwa wanasiasa wetu?
By
Anonymous
October 11, 2021