Searching...

  • Top definitionTop Definition

Zambarau

purple

e.g.

Bwana harusi alivalia sutu ya zambarau

en  

The groom was wearing purple suit



  • Definition 2

Zambarau

plum

e.g.

Napenda kula zambarau.

en  

I like eating plums.



  • Definition 3

Zambarau

purple

e.g.
na nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri, na singa za mbuzi;


  • Definition 4

Zambarau

Purple

e.g.

Tunavaa sare ya

Zambarau

en  

Our uniform is purple in colour



  • Definition 5

Zambarau

Java plum

e.g.

Tumepanda zambarau shambani mwetu

en  

We have planted java plum in our farm


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.