Kijani kibichi
Green
e.g.
Mlango wao umepakwa rangi ya kijani kibichi.
en
Their door is painted green.

Kijani kibichi
green
e.g.
Nimevalia nguo ya kijani kibichi
en
I have worn a green cloth
By
Anonymous

Kijani kibichi
green
e.g.
Rangi ya kijani kibichi ipo kwenye bendera yetu
en
Green colour is in our flag
By
Anonymous
