Rafiki
friend
e.g.
Kwa sasa ameanza kutangatanga faada ya kupoteza baadhi ya marafiki wake wa kihistoria kama Tanzania kwani Mkapa alipolihutubia bunge la Uganda majuma kadhaa yaliyopita aligusia juu ya matatizo kadhaa ya uongozi na akapendekeza njia za kutatua ili kuepusha uvunjaji amani kitu ambacho kilifurahiwa na watu wengi makini nchini Uganda.
By
Anonymous
