• Top definitionTop Definition

Shabiki

Fan.

e.g.

Mimi ni shabiki sugu wa Kariobangi Sharks.

en

I am a big fan of Kariobangi Sharks.


date publishedJuly 16, 2019

  • Definition 2

Shabiki

fan

e.g.

Hakuna mshabiki yeyote wa klabu ya Benfica yaUreno, hata awe na miaka kumi tu, asiyemjua Eusebio ni nani katika Benfica.


date publishedJuly 12, 2022

  • Definition 3

Shabiki

fan

e.g.

Pia aliwataka wasikubali kutumiwa na kugeuzwa nabaadhi ya watu ili wasitumbukie na kushabikia mambo yasiyofaa kwa jamii ikiwemo uhalifu .


date publishedAugust 15, 2021

  • Definition 4

Shabiki

A fan

e.g.

Shabiki huyu amepiga kelele

en

The fan was making noise


date publishedFebruary 22, 2023

  • Word of the day

Enane

Nane

e.g.

Enane enamba ya kiungo pashibhanja wakati bha ompera

sw

Namba nane ni namba ya kiungo uwanjani wakati wa mpira


By Medard
date publishedOctober 5, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.